Team Job ambayo iko chini ya beki Dickson Job wa Yanga imeibuka na ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Team Kibwana iliyo chini ya Kibwana Shomary baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida, ukiwa ni mchezo wa hisani…
NBC Lugalo Patron Trophy 2022 kumuenzi Jenerali Msaafu Venance Mabeyo na kumkaribisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Nkunda. Shindano hili litajumuhisha wachezaji kutoka klabu zote za hapa nchini kama vile Moshi Club, Arusha Gymkhana, Mufindi Club, Morogoro Gymkhana,…