Tazama magoli yote matano na penati aliyokosa Alikiba katika mchezo wa hisani, Team FEIBUI ikiitandika Team SAMAKIBA mabao 3-2 kwenye Dimba la Amaan Complex, Zanzibar. Magoli ya FEIBUI (Fesal Salum Feitoto na Abdulaziz Makame) yamefungwa na Feisal Salum, Ibrahim Ahmada…
Team Job ambayo iko chini ya beki Dickson Job wa Yanga imeibuka na ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Team Kibwana iliyo chini ya Kibwana Shomary baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida, ukiwa ni mchezo wa hisani…
NBC Lugalo Patron Trophy 2022 kumuenzi Jenerali Msaafu Venance Mabeyo na kumkaribisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Nkunda. Shindano hili litajumuhisha wachezaji kutoka klabu zote za hapa nchini kama vile Moshi Club, Arusha Gymkhana, Mufindi Club, Morogoro Gymkhana,…
Top Golf Courses in Tanzania 🇹🇿 Subscribe for more videos and tips: https://www.youtube.com/channel/UC_3WB1wfJaItIiN2RJsRMOw?sub_confirmation=1 The “Top Golf Courses in Tanzania” video on the Twilight Golfer YouTube channel is an informative and comprehensive guide to the best public golf courses in Tanzania.…