NBC Lugalo Patron Trophy 2022 kumuenzi Jenerali Msaafu Venance Mabeyo na kumkaribisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Nkunda.

Shindano hili litajumuhisha wachezaji kutoka klabu zote za hapa nchini kama vile Moshi Club, Arusha Gymkhana, Mufindi Club, Morogoro Gymkhana, Dar es Salaam Gymkhana, Sea Cliff Golf Club Zanzibar, Kili Golf na TPC Golf Club. Pia litajumuhisha wachezaji wa ridhaa kwa maana ya Div A,B,C, Seniors, Ladies na Juniors.

Write A Comment