Golf Babe February 11, 2022 Linnea Strom wa Uswidi aongoza kwenye mashindano ya gofu ya Magical Kenya LadiesLinnea Strom wa Uswidi anaongza kwa siku ya pili huku wachezaji wa gofu wa Kenya wakijikwaa katika mashindano yanayoendelea ya gofu ya Magical Kenya Ladies katika Uwanja wa gofu wa Baobab huko Vipingo, Kaunti ya Kilifi. Naomi Wafula ambaye ni…