Kardashian? Who do you like? Kardashian. Mean Kardashian. You know the Kardashian even better. I don’t know. Is that English? English. Yes bana unaweza ukawa maarufu alafu kumbe kuna watu wengine hawakufahamu lakini pia unaweza ukawa na jina kubwa lakini kuna watu wengine pia hawakufahamu na hii ni kutokana na kutokukufuatilia au kutokuwa na uby na wewe au kila mmoja kuwa na ubiza wake mwenyewe. Bwana siku mbili zimepita hapa nilikupatia stori ya Jack Chen moja kati ya wasanii ambao pia wamefanya poa zaidi kwenye maswala mazima ya mie za mapigano. msanii huyu anatokea kule eh nchini China na kuna baadhi ya tetesi tetesi lakini pia zile fukunyuku za watu kusema kwamba bwana Jack Shen sasa hivi ashakuwa mzee so anatakaribia kuacha muie zake na maswala mazima ya mapigano anaweza kuacha lakini yeye alikuja na kufunguka na kusema kwamba bado yupo kwenye kiwanda cha movie na ataendelea kucheza mie za kupigana kama kawaida lakini pia kitu ambacho kimekuwa ni story sasa kwa sasa hivi mara baada ya kuweza kufanya interview na baadhi ya moja kati moja kati ya chombo cha habari ambacho kinapatikana huko nchini Marekani maana baada ya kuulizwa yeye kuhusiana na Kadashen au Kim Kadashan anamfahamu bana Jackson aliweza kumkataa na kusema bwana mimi nilijua Kim Kadashan ni neno tu la kiingereza sikujua kama ni mtu maarufu au namna gani vipi kuna hiyo video clip ambayo nimekuwekea hapo mwanzo pia umeweza kumsikia mwenyewe kabisa akikataa kwamba Kim Kadashan yeye alihisi ni neno tu la kiingereza ambalo pia likiwa linatumika na watu tofauti tofauti. Lakini pia sasa ikumbukwe kwamba Jack Chen pia ni ameweza kushangaza watu wengi kupitia issue hii hapa. Lakini pia ikumbukwe Kim Kadashan pia ni familia maarufu zaidi duniani. Kwa watu ambao pia wanakuwa wanafuatilia muziki ukimtaja Kim Kadashian bana yaani huwezi kushtuka sana kama ambavyo bwana Jack Shen ameweza kushangaa kwamba Kim Kadashan kumbe ni mtu na ni mtu maarufu kiasi hicho kwa sababu yeye kama yeye alikuwa anajua bwana ni neno tu la kiingereza. Yapi maoni yako kwa Jack Chain kwamba eh bana mtu maarufu kiasi hiki alafu anashindwa kumtambua mtu maarufu mwenzie au ni kwa sababu tu wanakaa nchi tofauti tofauti na vitu vinakuwa kibao? Maoni yako yatakuwa ya muhimu sana then sisi tutapita nayo kupitia hapa hapa sawasawa digital. Endelea kutufuatilia sisi kwenye mitandao yetu ya kijamii YouTube pale ukisubscribe utakuwa wa kwanza kupata update zote ambazo tunakuwa tunazipandisha kwa wakati. Habari kigachani mwako.

Write A Comment