Linnea Strom wa Uswidi anaongza kwa siku ya pili huku wachezaji wa gofu wa Kenya wakijikwaa katika mashindano yanayoendelea ya gofu ya Magical Kenya Ladies katika Uwanja wa gofu wa Baobab huko Vipingo, Kaunti ya Kilifi. Naomi Wafula ambaye ni mchezaji asiye wa kulipwa anasema mashindano hayo yamemfundisha mengi na anahitaji kufanya marekebisho kadhaa ya mipigo ambayo ilimnyima alama kwenye mashindano hayo
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCsports #MagicalKenyaOpen #golf